Search
Now showing items 1-1 of 1
Uhakiki wa Fonimu na Miundo ya Silabi za Kiswahili
(udsm.ac.tz, 2017)
Fonimu ni kipashio kidogo cha sauti ya lugha chenye uwezo wa kubainisha maana na hudhihirika
kama irabu au konsonanti. Kama ilivyo katika lugha nyinginezo ulimwenguni, Kiswahili vilevile
kina fonimu za kategoria mbili ...