Search
Now showing items 1-1 of 1
Mitindo ya Lugha Inayowabainisha Wahusika Wazimu katika Riwaya za Habwe
(EASTAFRICAN NATURE& SCIENCE ORGANIZATION, 2023-07-31)
Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni zinaonyesha ongezeko la idadi ya wazimu katika jamii duniani kote (Kovacevic, 2021). Waandishi wa fasihi wamewaumba wahusika wazimu wakiakisi mazingira wanamoishi. Tangu jadi wahakiki ...