Browsing Theses & Dissertations by Title
Now showing items 1660-1679 of 1703
-
Uchanganuzi wa Matini Zilizoteuliwa za Ugaidi katika Gazeti la Taifa Leo la Kenya kati ya Oktoba 2010 -Novemba 2011
(Maseno University, 2014)The media in Kenya and other parts of the world have been instrumental in giving the public information on terrorism. Language used by the media in reporting terrorism is important in presenting information on incidents ... -
Uchanganuzi wa kileksikografia wa hiponimia za leksimu nomino na vitenzi vya kiswahili na tafsiri zake katika kiluo
(Maseno University, 2018)Ingawa hiponimia hudhihirika miongoni mwa kategoria mbalimbali za maneno, tafiti za Kiswahili zimeelekea kushughulikia hiponimia za nomino na kupuuza kategoria nyingine kama vile vitenzi, vielezi na vivumishi. Tafiti hizi ... -
Uchanganuzi wa kisemantiki wa mabango ya kiswahili kuhusu Suala la afya mjini Kakamega, Kenya
(Maseno University, 2013)Human communication has undergone various changes over time. The traditional methods of communication that is oral and written communication have been modified by the invention of different modes of communication being ... -
Uchanganuzi wa Kisemantiki-Leksia wa Maneno Teule ya Kiswahili Yaliyotumika Katika Nyimbo Teule Zilizoimbwa na Nonini na Juacali
(Maseno University, 2019)Previous studies indicate that artists generally create abstract art forms that are mostly not comprehensible to the audience. Artists normally use commonplace lexicon in novel ways in their bid to communicate with their ... -
Uchanganuzi wa mofosintaksia ya Luganda katika matumizi ya kiswahili sanifu wilayani Kampala, Uganda
(Maseno University, 2023)Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye mifumo na miundo ya kiisimu ambayo ina upekee wake. Upekee huu husababisha tofauti za kiisimu na lugha nyinginezo za Kibantu kimuundo na kimfumo na kujenga athari za mwingiliano wa ... -
Uchanganuzi wa umilisi wa kiisimu wa wanafunzi wa lugha ya kiswahili katika chuo kikuu cha Maseno nchini Kenya
(Maseno University, 2017)The research has been kindled by the fact that a big percentage of linguistics studies in Kis-wahili in the Kenyan universities is affected by the use of different linguistic vocabularies used during the teaching and ... -
Uchanganuzi wa usemi wa kisiasa kuhusu nchi ya kenya katika blogu teule zilizoandikwa katika Kiswahili
(Maseno University, 2015)Maendeleo ya kiteknolojia kimtandao yanazidi kubadilisha namna masuala ya kisiasa yanavyowasilishwa. Majilio ya kuandika habari na kutolea maoni katika blogu yameshuhudia kuongezeka kwa watu wanaozuru blogu na kuchangia ... -
Uchanganuzi wa uwasilishaji wa kifo katika mashairi teule ya Kiswahili
(Maseno University, 2014)Kifo ni swala zito na linaloibua hisia zaidi. Uwasilishaji wa dhana ya kifo katika tanzu anuwai za fasihi huwa kwa namna tofauti. Katika ushairi kifo huibuliwa kwa lugha ya pekee yenye mnato wa hisia na mashiko zaidi. ... -
Ufasiri Kipragmatiki Wa Diskosi Katika Gazeti La Taifa Leo Juu Ya Uhifadhi Wa Misitu Kenya
(Maseno University, 2013)IKISIRI Matumizi ya mikakati mbalimbali ya kipragmatiki katika diskosi huweza kuzua utata katika kufasiri ujumbe ulionuiwa kumfikia msomaji au msikilizaji. Tamko la msemaji au mwandishi fulani huweza kufasiriwa na ... -
Uhakiki wa suala la uhifadhi wa mazingira katika tanzu teule za fasihi ya kiswahili ya milenia mpya
(Maseno University, 2014)Hatua nyingi madhubuti zinachukuliwa na wanafasihi na mashirika mbalimbali kuhamasisha binadamu juu ya masuala yanayohusiana na uharibifu wa mazingira pamoja na haja ya uhifadhi wa mazingira. Hii ni kwa sababu wanadamu ... -
Uhakiki wa ubunilizi wa changamoto za ndoa katika riwaya teule za kiswahili kiuhusika na kiusimulizi
(Maseno university, 2021)Ndoa ni asasi muhimu inayoiendeleza jamii na kudumisha uthabiti wake kupitia majukumu yake muhimu ya kuhakikisha wanajamii wapya wanazaliwa na kulelewa. Tafiti za kifasihi na za kisosholojia kuhusu ndoa zinaonyesha kuwa ... -
Uhusika katika mashairi ya Kiswahili: Malenga wa vumba, Kichomi na Utenzi wa Fumo Liyongo
(Maseno University, 2018)Uhusika katika ushairi wa Kiswahili ni kipengele ambacho hakitiliwi maanani na wahakiki wengi wa mashairi. Uhusika huu haujitokezi wazi kama ilivyo katika tanzu zingine za fasihi. Aghalabu huwa si dhahiri, huonekana kuwa ... -
Umilisi wa lugha ya kifasihi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili katika kaunti ndogo ya Wareng’
(Maseno university, 2021)Umilisi wa lugha ya kifasihi kutokana na fasihi andishi ya Kiswahili ni uti wa mgongo kwa ufanisi wa mtihani wa Kiswahili. Wanafunzi wanapoanza kidato cha kwanza huwa wamepata alama nzuri katika mtihani wa Kiswahili. Mtaala ... -
Une Evaluation Des Competences En Pyoduction Ecrite Des Apprenants Kenyans Du Fle Au Niveau Secondaire: Cas du District de Vihiga
(Maseno University, 2012)French as a foreign language has been taught in Kenya since the colonial period. When Kenya attained independence in 1963, the government decided to continue the teaching of French. It was integrated in the Secondary ... -
Unit groups of certain classes of commutative finite rings
(Maseno University, 2009) -
The University of Alberta the Goals of Universities in Papua New Guinea
(University of Alberta, 1990)The primary purpose of this study was to identify and compare goal perceptions of writers, administrators and academics in two universities in Papua New Guinea (PNG). Three methods -- a survey based on the Institutional ... -
Unsteady MHD heat and mass transfer over an infinite Porous flat plate with convective surface boundary Conditions
(Maseno University, 2018)Unsteady MHD heat and mass transfer over an infinite flat plate with convective surface boundary condition problems have received little attention yet they are of great importance in many scientific and engineering fields. ... -
The Use of Cast Tests and Exercises to Improve The Learning of Statistics at Tertiary Level of Education
(Maseno university, 2012)Statistics as a course has become a computerised teaching subject due to the changing needs of the students who often use computers to process, and analyse various data sets. Recent technological developments have led ... -
Use of conventional and molecular techniques to Determine the prey alence of shigella and Enteroinv asive escherichia coli strains from Diarrhoea patients in selected health facilities in Rural western Kenya
(Maseno university, 2009)Diarrhoea is a major cause of infant morbidity and mortality worldwide. It accounts for 1.6- 2.5 million deaths annually and each child in the developing world experiences an average of three episodes of diarrhoea per ...