Browsing Department of Kiswahili & Other African Languages by Issue Date
Now showing items 21-35 of 35
-
Can Habermas' Theory of Communicative Action Provide a Framework of Inspiration for Practices of Discursive Mediation in Post-Election Kenya?
(Scholars Middle East Publishers,, 2019)This article examines how Habermas‘s theory of communicative action provides insights for mediation processes and conflict resolution in general. It lays its assumptions that people in society are in relationship and that ... -
Jinsi Mtindo Katika Ushairi Unavyofundishwa Katika Shule za Upili: Mfano wa Kaunti Ndogo ya Teso Kaskazini, Kaunti ya Busia, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)Makala hii inahusu jinsi ambavyo mtindo katika ushairi unavyofundishwa katika shule za upili nchini Kenya. Wasomi mbalimbali wametafiti kuhusiana na jinsi ambavyo vipengee tofautitofauti vya ushairi ... -
Matumizi ya Maigizo Kama Mbinu ya Kufundisha Tamthilia Katika Shule za Upili, Kaunti ya Bungoma Kusini, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)Utafiti huu ulilenga kuonyesha matumizi ya maigizo kama mbinu ya kufundisha tamthilia; mfano wa Kigogo katika shule za upili, Kaunti ya Bungoma Kusini. Ufundishaji wa somo lolote hujikita kwenye mawasiliano baina ya ... -
Nafasi ya Fasihi Katika Kuwasilisha Masuala ya Mazingira Kupitia Riwaya Teule Tikitimaji (2013) na Msimu wa Vipepeo (2006) za KW Wamitila
(East African Journal of Swahili Studies, 2020)Suala la mabadiliko ya hali ya anga ni janga linaloendelea kukumba ulimwengu kwa jumla. Kutokuwepo kwa usawazishaji wa ekolojia ni jambo ambalo linawatia shaka adinasi wengi. Fasihi ni kioo cha jamii na inapaswa kuwasilisha ... -
Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili
(2020)Mifumo ya kijamii inajitokeza waziwazi katika fasihi andishi ya Kiswahili. Mifumo hiyo huwakilisha matukio ya fasihi andishi na jinsi yanavyoichora na kwa mapana kuwa kioo cha jamii. Tafiti nyingi zilizofanywa zinahusu ... -
Rhetorical questions as an off-record politeness strategy in language use among the Bukusu.
(Royallite Global, Kenya., 2021)This paper sought to discuss rhetorical questions as an off- record politeness strategy with the aim of determining the context and reasons for their use in communication. It focused on language use amongst users of Bukusu ... -
A study of terrorism discourse in taifaleo newspaper of Kenya
(MCSER-CEMAS-Sapienza University of Rome, 2021)Terrorism is a global concern and usually elicits a lot of sensationalism every time it occurs. The media often finds itself in the middle of debates over this issue. Apart from the role of informing the public, the media ... -
Athari za Kimofosintaksia za Ngeli za Luganda katika Matumizi ya Kiswahili Sanifu Miongoni mwa Wanafunzi Shuleni, Uganda
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2021)Makala hii inaonesha athari za kimofosintaksia za ngeli za Luganda katika matumizi ya Kiswahili sanifu. Makala hii inatokana na kuwa, Luganda na Kiswahili huainisha ngeli kutumia mfumo mmoja na matumizi yake kuzingatia ... -
Mitindo ya Lugha Inayomsawiri Mwanamke Kiongozi katika Tamthilia za Pango (2003) na Kigogo (2016)
(University of Dar es salaam, 2021)Tafiti nyingi zilizofanywa kumhusu mhusika mwanamke katika tamthilia za Kiswahili zilimsawiri mwanamke kwa ujumla bila kuangazia uongozi wake. Chache zilizoshughulikia mwanamke kiongozi zimefanya hivi bila kuangazia mitindo ... -
KenSwQuAD--A Question Answering Dataset for Swahili Low Resource Language
(arXiv preprint, 2022)This research developed a Kencorpus Swahili Question Answering Dataset KenSwQuAD from raw data of Swahili language, which is a low resource language predominantly spoken in Eastern African and also has speakers in other ... -
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2022)Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi yoyote ile. Nchini Kenya, vipengele katika ... -
Phonemic Representation and Transcription for Speech to Text Applications for Under-resourced Indigenous African Languages: The Case of Kiswahili
(Arxiv.org, 2022)Building automatic speech recognition (ASR) systems is a challenging task, especially for under resourced languages that need to construct corpora nearly from scratch and lack sufficient training data. It has emerged ... -
Kubainisha Usawiri wa Ukahaba naWahusika Makahaba katika Riwaya ya Nyota ya Rehema na Ndoto ya Almasi
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2022-12-28)Utafiti huu ulichunguza ukahaba katika riwaya ya Nyota ya Rehema (Mohamed S.Mohamed) na Ndoto ya Almasi (Ken Walibora). Kitendo cha ukahaba kimesababisha mashaka mengi sana katika maisha ya mwanadamu kama vile kupoteza ... -
Nafasi ya Ikolojia ya Lugha katika Mtagusano wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Dini katika Kaunti ya Bungoma
(EAST AFRICANNATURE & SCIENCEORGANIZATION, 2023-03-27)Nyanja mbalimbali katika jamii hutegemea matumizi ya lugha. Hali hii huzua changamoto ya namna ya kutumia raslimali za lugha zinazopatikana katika jamiilugha fulani. Juhudi ya kufahamu na kutagusana na ulimwengu huhitaji ... -
Mitindo ya Lugha Inayowabainisha Wahusika Wazimu katika Riwaya za Habwe
(EASTAFRICAN NATURE& SCIENCE ORGANIZATION, 2023-07-31)Takwimu za Shirika la Afya Ulimwenguni zinaonyesha ongezeko la idadi ya wazimu katika jamii duniani kote (Kovacevic, 2021). Waandishi wa fasihi wamewaumba wahusika wazimu wakiakisi mazingira wanamoishi. Tangu jadi wahakiki ...