Search
Now showing items 1-2 of 2
Mikakati na mitindo katika ujifunzaji wa kiswahili kama lugha ya biashara miongoni mwa wafanyabiashara jijini Kampala-Uganda
(Maseno University, 2023)
Dhima mojawapo ya lugha ya Kiswahili ni ukuzaji wa sekta ya uchumi. Kiswahili kama lugha ya pili nchini Uganda, kilianzishwa kwa ajili ya kuendeleza biashara na dini. Ujifunzaji na matumizi yake hayajaendelezwa kwa kina. ...
Mchango wa Ushairi wa Kiganda katika kuendeleza umitindo wa Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa ufundishaji wa ushairi katika wilaya ya Mukono-nchini Uganda
(Maseno University, 2023)
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu huo katika kujifunza ushairi wa Kiswahili.Ugumu katika ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili umesababisha matokeo mabaya ...