Search
Now showing items 21-30 of 32
Mabadiliko katika Umbo la Ushairi na Athari zake katika Ushairi wa Kiswahili
(Academic Journals, 2008)
Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kupimia akili yake kiubunifu katika hali ya kutaka kutangamana zaidi na binadamu mwenzake au kutaka kuelewa zaidi ulimwengu ...
UCHANGANUZI WA HIPONIMIA ZA VITENZI VYA KISWAHILI.
(Swahili Forum, 2016)
Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihi-ponimia ulidhukuriwa na wanaisimu ...
Jinsi Mtindo Katika Ushairi Unavyofundishwa Katika Shule za Upili: Mfano wa Kaunti Ndogo ya Teso Kaskazini, Kaunti ya Busia, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)
Makala hii inahusu jinsi ambavyo mtindo katika ushairi unavyofundishwa katika shule za upili nchini Kenya. Wasomi mbalimbali wametafiti kuhusiana na jinsi ambavyo vipengee tofautitofauti vya ushairi ...
Matumizi ya Maigizo Kama Mbinu ya Kufundisha Tamthilia Katika Shule za Upili, Kaunti ya Bungoma Kusini, Kenya
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)
Utafiti huu ulilenga kuonyesha matumizi ya maigizo kama mbinu ya kufundisha
tamthilia; mfano wa Kigogo katika shule za upili, Kaunti ya Bungoma Kusini.
Ufundishaji wa somo lolote hujikita kwenye mawasiliano baina ya ...
KenSwQuAD--A Question Answering Dataset for Swahili Low Resource Language
(arXiv preprint, 2022)
This research developed a Kencorpus Swahili Question Answering Dataset KenSwQuAD from
raw data of Swahili language, which is a low resource language predominantly spoken in
Eastern African and also has speakers in other ...
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2022)
Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi yoyote ile. Nchini Kenya, vipengele katika ...
Athari za Kimofosintaksia za Ngeli za Luganda katika Matumizi ya Kiswahili Sanifu Miongoni mwa Wanafunzi Shuleni, Uganda
(Jarida la Afrika Mashariki la Masomo ya Kiswahili, 2021)
Makala hii inaonesha athari za kimofosintaksia za ngeli za Luganda katika matumizi ya Kiswahili sanifu. Makala hii inatokana na kuwa, Luganda na Kiswahili huainisha ngeli kutumia mfumo mmoja na matumizi yake kuzingatia ...
Mitindo ya Lugha Inayomsawiri Mwanamke Kiongozi katika Tamthilia za Pango (2003) na Kigogo (2016)
(University of Dar es salaam, 2021)
Tafiti nyingi zilizofanywa kumhusu mhusika mwanamke katika tamthilia za Kiswahili zilimsawiri mwanamke kwa ujumla bila kuangazia uongozi wake. Chache zilizoshughulikia mwanamke kiongozi zimefanya hivi bila kuangazia mitindo ...
Phonemic Representation and Transcription for Speech to Text Applications for Under-resourced Indigenous African Languages: The Case of Kiswahili
(Arxiv.org, 2022)
Building automatic speech recognition (ASR) systems is a challenging task, especially for under resourced languages that need to construct corpora nearly from scratch and lack sufficient training
data. It has emerged ...
Nafasi ya Ikolojia ya Lugha katika Mtagusano wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Dini katika Kaunti ya Bungoma
(EAST AFRICANNATURE & SCIENCEORGANIZATION, 2023-03-27)
Nyanja mbalimbali katika jamii hutegemea matumizi ya lugha. Hali hii huzua changamoto ya namna ya kutumia raslimali za lugha zinazopatikana katika jamiilugha fulani. Juhudi ya kufahamu na kutagusana na ulimwengu huhitaji ...